TIG TEACHER'S INVESTMENT GROUP ni kikundi cha walimu waliokaa na kukubaliana ili kutengeneza kikundi cha kujiwekezea na kujikopesha pale wanapopata changamoto za kimaisha. kikundi hiki kinaendesha mradi wake kwa njia ya mtandao. ambapo mtu yeyote popote alipo mwenye vigezo husika anaweza kujiunga na kuanza kuchangia pia kujipatia mkopo mara tatu ya hisa zake vile vile kikundi hiki kinakuwezesha mwanachama kukopa mikopo ya aina mbili 1 mkopo wa mda mlefu kuanzia mwezi mmoja hadi miezi 10 2 mkopo wa dharula. mkopo huu hudumu ndani ya mwezi mmoja tu unarejesha RIBA kwakua kikundi hiki ni cha kusaidiana kwa shida ndogondogo hivyo mkopaji akikopa atarejesha kwa riba ya 10% kwa mwezi karibuni ndugu wajumbe tunawapenda sana Teacher's investment group- invest to improve your future
Comments
Post a Comment